2 Kings 24:8

Yehoyakini Mfalme Wa Yuda

(2 Nyakati 36:9-10)

8 aYehoyakini alikuwa na miaka kumi na minane alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miezi mitatu. Jina la mama yake aliitwa Nehushta binti Elnathani kutoka Yerusalemu.
Copyright information for SwhNEN